Yani unaingia kituoni unapark gari uwekewe mafuta unajikuta umegeuza pump iko kulia wewe umeweka gari kushoto, Fuel attendant anakuona kama dish lako linayumba hivi hafu hakuelewi elewi.
.
Kuna wale wasee huwa hawataki aibu ndogo ndogo huwa wanashuka wanachungulia kwanza, Yani kabla hajafika...
Rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa ambapo tumeshuhudia baadhi ya sura mpya, wengine wakihamishwa lakini kuna ambao wamepewa mkono wa kwaheri, ingawa gumzo kubwa limekuwa kutemwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi.
Hapi ambaye...
Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote waliobaki na unavyoondolewa haimaanishi kwamba umefanya vibaya sana na ndio maana tunasema Uongozi...
Baada ya kuiona trailer ya documentary ya Royal Tour na kufahamishwa kuwa ipo Amazon, niliamua na mie ngoja nilipie kuiangalia. Ajabu ni kwamba nilipotaka kulipia nilipata ujumbe kwamba kwa kuwa credit card yangu sio ya USA basi siruhusiwi kuilipia.
Hivi huu ubaguzi hadi kwenye credit card?
Habari za wakati huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.