Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote waliobaki na unavyoondolewa haimaanishi kwamba umefanya vibaya sana na ndio maana tunasema Uongozi...