WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
Mfano unakuta wakati nazaliwa , wazazi Kwa uono wao wakaamua kunipa jina "MATATIZO" MATESO nk , au nilikua mkristu nikasilimu nikataka kwenda na jina la dini husika, au nilikua muislam nikabatizwa nikataka kwenda na jina la biblia
Swali langu ni nini shida inayofanya kusiwe na system ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.