Wanabodi imekuwa ni jambo ambalo ni kawaida pale unapokutana na mtu ambae hamjaonana
kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapokutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano
wa sura na mwili kwa ujumla.
Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine...