Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Tanzania ) hivi karibuni ilitangaza agizo la wamiliki wa magari kubadilisha kadi zao za usajili wa magari ndani ya muda mfupi uliowekwa. Ingawa hatua hii ni muhimu katika kuboresha ufanisi na uwazi wa mchakato wa usajili wa magari, muda uliotolewa umekuwa mfupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.