kubadilisha maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unawezaje kubadilisha maisha yako Daima??

    Wakuu nina swali?? LEO KATIKA PITA PITA ZANGU Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated kwene haya maswala niliomba namba yake awe ananisaidia maana wao ndo walikua wanamalizia usajili namm...
  2. Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  3. Vitabu bora sana vinavyoweza kubadilisha maisha yako

    Wakuu habari...
  4. M

    SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  5. Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  6. Umewahi kubadilisha maisha yako kwa kupitia pesa za betting?

    Habari wana JF. Hivi ni kweli watu unapiga pesa kupitia company za betting au kubashiri kuhusu mpira au baadhi ya michezo mengine. Kikwel sijawh kuon mtu kapata pesa kupitia betting wala sidhn na kuna watu unapiga pesa kwel au ni maisha yao ya kila siku. PESA ZA BETTING YAMEWAHI KUBADILI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…