Naamini ipo siku atatokea mtu jasiri ataeamua kutojitetea mahakamani pindi atapobaini mashitaka dhidi yake ni ya kubambikiziwa kwasababu tu ya chuki za kisiasa au vinginevyo.
Huweki Wakili unawaacha waendeshe kesi bila wewe kusema lolote halafu mwisho wa siku watoe hukumu waliokuwa wamepanga...
Kumekuwa na tuhuma nyingi zikielekezwa Jeshi la Polisi kuhusu kubambikiza kesi, kunyanyasa raia ambao ndio wanapaswa kuwalinda, utesaji wa watuhumiwa hadi wengine kuuwawa, kama ilivyotokea kwa mdogo wa mh. Heche, aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya CHADEMA. Huyu alikamatwa na polisi, na akiwa...
MOSHI: WAZIRI SIMBACHAWENE AMELIONYA JESHI LA POLISI KUBAMBIKIZA WATU KESI.
#Moshi: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake kubambika watu kesi, huku pia akitaka mafunzo ya awali ya askari yaongezwe kutoka miezi tisa hadi 12 ili...