Habarini wana afya,
Mimi ni mwanamke umri ni 40+, nina shida kwenye kubana mkojo. Nikibanwa na mkojo nipate haraka mahali pa kujisitiri vinginevyo unatoka kidogokidogo yaani kuubana siwezi au kuvumilia.
Nilishafanyiwa operation 4, mbili za uzazi na mbili za goita, sasa wengi wanasema kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.