kubana mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Changamoto ya kushindwa kubana mkojo

    Habarini wana afya, Mimi ni mwanamke umri ni 40+, nina shida kwenye kubana mkojo. Nikibanwa na mkojo nipate haraka mahali pa kujisitiri vinginevyo unatoka kidogokidogo yaani kuubana siwezi au kuvumilia. Nilishafanyiwa operation 4, mbili za uzazi na mbili za goita, sasa wengi wanasema kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…