Kikubwa hapa nataka kujua hasa Kitaalamu je, kuna ama Dawa yoyote ile ya Hospitalini au ya Kiutamaduni (Mitishamba) au Mafunzo yoyote yale Mtu anaweza Kutumia au Kuyatumia ili ayatumie na yaweze Kumsaidia asiwe anashikwa na Mkojo mara kwa mara hasa awapo Safarini au akiwa Mkutanoni na kila mara...