kubebwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MwananchiOG

    Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  2. Waufukweni

    Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: CCM haitaji kubebwa, Siasa sio ugomvi wala vita

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema siasa sio ugomvi wala vita, hivyo amepongeza kuona kiongozi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) akiwatambulisha wagombea wa CCM. Makalla amesema hayo leo Novemba 24,2024...
  4. M

    Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  5. 5 Nyingi

    Ashatu Kijaji: Waziri Mwongo anaye endelea kubebwa na Serikali ya awamu ya 6

    Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje. Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea. Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani...
  6. Erythrocyte

    Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
  7. GENTAMYCINE

    Huyu ndiyo Maulid Kitenge anayeshangaa Simba SC Kubebwa na Ratiba ya Ligi, ila hashangai Yanga SC yake Kutwa Kubebwa na Waamuzi Viwanjani

    Maulid Kitenge labda nikusaidie leo hakuna ambacho kinafanyika kwa Simba SC hakijawahi au hakifanyiki kwa Yanga SC sema tu kwakuwa una Umasikini wa Fikra (Upeo) hili huwezi Kulijua. Haya Maulid Kitenge kwakuwa leo hapo Sports Headquarters ya EFM ukiwa kama Boss Wao (Sports Department) umekuja...
  8. Little brain

    Kilichotukera Orlando Pirates sio Penati ya kubebwa au maamuzi ya V.A.R kilichotukwaza ni vile vitochi vya kishamba

    Hatuna shida sana matokeo tuliyopata maana yote aliyoyasema Abdi Banda yametimia. ila kilichotukera sana sisi ni vile vitochi vyenu vya kitoto mlivyokuwa mkivielekeza kwa golikipa wetu muda wote. Karibuni South Africa.
  9. Determinantor

    Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  10. S

    2025 jimbo la Tandahimba litakuwa la kwanza kubebwa na wapinzani

    Salaam. Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani. Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM walilikomboa jimbo hili toka mikononi mwa CUF ambapo mbunge aliyeshinda uchaguzi mkuu wa 2015...
  11. K

    Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

    Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
  12. B

    Jamhuri msipoandaa Mawakili mkaendelea kubebwa na Majaji na Mahakimu tutaendelea kukodi Mawakili wa kigeni milele

    Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na...
  13. Utopologist

    Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

    Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema. Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
  14. Idugunde

    Taifa letu lina mgogoro gani mkubwa mpaka mnataka maridhiano? Au mazoea ya siasa za kubebwa ndio inawasumbua

    Naona juice za ceres na sambusa za ikulu ni tamu sana ndio maana ndugu zetu wnaChadema wanakomaa waitwe ikulu wakaonane na rais Samia. Maana hata kama kutinga ikulu ni dili sio hivi sasa. Mnakomaa kuwa eti kuna muafaka mnataka upatikane sasa mnataka upatikane ili kutatua mgogoro upi? Zuio la...
  15. R

    Ubunge wa kubebwa ndiyo chanzo cha Spika Ndugai kuwaelekeza Wabunge?

    Ukisikia Bunge halina mvuto ni Bunge hili lililosheni wabunge wengi wa CCM, wabunge wa upinzani kiduchu Sana, wabunge hewa kama wanavyojulikana covid-19. Mvuto umekosekana hata kama Bunge ni live Wananchi hawafuatilii mijadala Bunge kama ilivyokuwa enzi Samwel Sitta au Anna Makinda. Wabunge...
Back
Top Bottom