Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...