Kutoka Louisville Kentucky nchini. Marekani siku ya jana haikuwa siku nzuri kwa wananchi wa Kentucky baada ya moja ya jengo lililokuwa linajengwa kuporomoka Katikati ya ujenzi.
Kuporomoka huko kuli pelekea mtu mmoja ambaye ni constructor(fundi ujenzi) kufunikwa na kifusi takribani futi 12...