Kuna hii baa ya La Patrona, karibu na kanisa la Katoliki, Nkuhungu, Dodoma. Iko vizuri kimazingira ila inatupa kero wakazi wa jirani. Inapiga mziki mnene kila siku kuanzia mida ya saa nne hivi hadi saa kumi hivi usiku, tena yupo na DJ anapiga kelele mno.
Kuna uzi uliletwa siku chache zilizopita...