kuchafua mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafundi wa Kitanzania badilikeni

    Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji. Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania...
  2. KERO Kituo cha Mwendokasi Kimara acheni kutiririsha maji machafu usiku

    Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…