Ndugu wanajukwaa Mimi ni mgeni, nikikosea mnirekebishe.
Wakuu katika pitapita yangu nikakutana na taarifa kupitia platform za kimataifa. Je, kama taifa tunanufaika vipi na taarifa kama hii? Je tatizo lipo wapi kati ya viongozi wetu waliojisaahu ama upinzani unaosaidia kumulika maovu ya serikali...