kuchagua mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Uchumba sugu humsaidia mwanaume kuchuja aina ya wanawake na kujifunza nani hasa wa kuoa

    Siongelei ule uchumba Sugu wa kila mtu kukaa kwake, naongelea uchumba sugu wa kugandana nyumba moja kwa hata miaka 5; yaani huyo mwanamke ataigiza kila script aliyotumia kwa wanaume kabla yako na atachoka kisha utazijua tabia zake zote na kama utaweza kumvumilia kwa miaka hiyo yote basi kumuoa...
  2. Ngwatuson

    Msaada kuchagua mchumba sahihi kati ya hawa nitakaowataja

    Habari Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii. Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi Wapili ni...
  3. Dr leader

    Kuwa makini wakati wa kuchagua mke

    Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume.. Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA." Hii na baada ya kutalakiana na mume wake Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI...
  4. Equation x

    Kwa mafanikio, oeni pisi za kawaida

    Wanaume wengi tunayumbishwa na pisi kali tunazozimiliki, wengi tumejikuta tumeshindwa ata kumiliki mashine ya kupukuchua mahindi kwa sababu ya kuhudumia pisi kali. Migogoro imekuwa ni mingi ndani ya familia/ mahusiano, kutokana na pisi kali kujiona ni mzuri na kumfanya mwanaume kuwa mtumwa...
Back
Top Bottom