Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa utaratibu wa kuwabadilisha na kuchagua viongozi wapya kila baada ya muda fulani ambapo inapelekea...
Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024.
TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu.
Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
arusha
kuchaguakuchaguaviongozi
kuhusu
kupiga
kupiga kura
kura
maoni
maoni ya wananchi
mitaa
serikali
serikali za mitaa
viongoziviongozi wa serikali
wananchi
zoezi
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla, amewasili mtaa wa TPDC Mikocheni B Jijini DSM kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa ikiwa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wa Serikali za Mitaa.
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha leo Tarehe 27 Novemba 2024 Ameongoza Wananchi wa Wilaya ya Tanga kwenye zoezi la kupiga kura kuchagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata ya Central kituo cha Raskazone.
Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi kuchagua Viongozi wenye uwezo wa kushughulika na changamoto zao kwa urahisi ili kuweza kuwaletea...
Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa kuichagua CCM, kwasababu ndicho chama pekee nchini cha kuaminika ndani na nje ya nchi.
Lakini pia ndicho...
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.
Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.
Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
Kupiga kura Kisiasa ni zoezi la kumuweka mtu au Kikundi Cha watu madarakani bila kujali kama Wana sifa ama la
Kupiga kura mtu anashawishiwa na Vionjo mbali mbali mfano Rushwa, Ulaghai, Dhulma na Utapeli
Lakini Kuchagua Kiongozi ni zoezi la kumchagua Mtu mwenye Sifa, Vigezo na karama ya Uongozi...
Viongozi tunaowachagua tunawapa mamlaka ya kutuamulia mustakabali wa maisha yetu katika kipindi chote cha uongozi wao. Viongozi hawa wanatunga sheria na sera kwa niaba ya wananchi wote, wanachukua mikopo kwa niaba ya watanzania wote, wanasimamia matumizi ya pato (uchumi) la taifa, ulinzi na...
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura.
Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi.
Aidha amesema...
assad kura kidigitali
assad sitapiga kura
kuchaguaviongozi
kupiga kura kidigitali
kura kidigitali
mussa assad
prof assad
profesa mussa assad
wizi wa kura
wizi wa uchaguzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.