Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.
Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka...
Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
Waswahili wanasema kuzaa sio kupata kweli nimeamini.
Kuna binti wa ndugu yangu mmoja huko Kilimanjaro mtoto wake wa kike amemaliza masters ya udaktari hivi karibuni ila kwa bahati mbaya akiwa anafutilia mambo yake ya kazi akapatwa na hali ya kuchanganyikiwa ghafla maana hakuwa anapatikana...
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14.
Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.
Aliyeelewa naomba Ufafanuzi wa kina.
Tumezoea matukio mengi ya mashambulio yanapofanywa na wapinzani wa nchi za magharibi huitwa ni mashambulio ya kiuoga.Mtu anaamua kujiripua sehemu fulani au kutumia silaha kushambulia adui hadharani lakini huwa inasemwa ni shambulio la woga tu.
Kwa shambulio hili lililofanywa jana na Israel kwa...
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu ambacho siyo! Mji wa mwisho kuuteketeza utakuwa ni Rafah, lakini nako ataambulia patupu na mateka...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
Wanaume wawili walikutana kwenye kituo cha basi na wakawa na mazungumzo. Mmoja wao aliendelea kulalamika kuhusu matatizo ya familia yake. Hatimaye yule mtu mwingine wa pili akasema, “unafikiri unayo matatizo ya kifamilia? Sikiliza hali yangu."
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mjane...
HiVi Zitto kabwe huu aliofanya si zaidi ya uzalilishaji na ukandamizaji wa haki za binadamu!
Hivi si dalili za Zitto kama kiongozi kuchanganyikiwa?
---
Kiongozi wa kikundi cha Mapigo Tisa cha Kijiji cha Kalinzi Wilaya ya Kigoma, Khalid Isaa (kushoto) akimwongoza kiongozi wa chama cha...
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya kike(gauni) lakini niliuza siku 5 za kwanza tu ila sasa hivi mambo magumu mzigo ni kama umechacha...
Wakuu za mida? nadhani mko poa!
Mimi ni kijana wamiaka24 nilifeli kidato cha nne mkoani huko nikawa nafanya shughuli za kilimo na washkaji zangu huko mkoani. Nilikuwa napata hela za kujikimu na chakula fresh tuu na pia kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa nina mpango wa kulima mazao mengi...
"ASILIMIA 53 ya wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) leo ni wanawake. Sijui wanaume wamekwenda wapi? Rais Mstaafu Dk Jakaya Kikwete na Mkuu wa Chuo amehoji wakati wa Duru ya tano ya Mahafali ya 52 na kuongeza “itabidi tufanye utafiti.”
Chanzo: HabariLeo
Acha kutupotezea muda wenye...
Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema...
Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
Wakati wa jpm nchi ilikuwa imeparaganyika watu wakabaki wanaogopa tu wale wasiojulikana na yeye mwenyewe akqbaki anawinda wanaomkosoa ili wauawe au wapewe makesi ya ajabu.
Sasa nchi imetulia tuliii na watu wameanza kupumua na kutoa ya moyoni yaliyokuwa yanawasibu Mana kipindi kile kulikuwa...
Nimefikisha mwaka tangu nipoteze ajira baada ya kuingia COVID-19.
Kwa sasa nipo mtaani kwa muda mrefu sina shughuli yoyote ya kufanya sababu nilikuwa ni mtu naeishi maisha ya ku-dedicate muda wangu na nguvu zangu kwenye kazi za ofisi.
Sikuwai kuwaza kama kuna siku naweza kukaa bila kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.