Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga.
Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila dalili ya watu kupata ulemavu wa kudumu, kuvuja damu nyingi sana hivyo kwa uungwana niliokuwa nao...
Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu.
Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu?
Kama ni kweli, Kwa nini?
Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu tu mdomo wake umeonekana mweusi!
Alipoulizwa na mnasihi kama anatumia vilevi gani, alikiri kuwa...
Jeshi la Polisi Wilaya ya Longido limeendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia makundi mbalimbali ya jamii za kifugaji huku wakitumia siku 16 za kupinga vitendo hivyo kuchangia damu katika kituo cha Afya Longido.
Akiongea mara baada ya zoezi hilo Mkuu wa Polisi wilaya ya Longido Mrakibu...
Inapoitwa timu ya wananchi basi ujue inajitoa walau kusaidia wananchi, Yanga ni kawaida sana kuchangia damu, wakienda mikoani karibu kila mechi watafikia kituo cha watoto yatima, waathirika wa dawa za kulevya, n.k.
Yanga imecheza kwa kuzingatia kwamba Namungo ina majonzi ya msiba wa mashabiki...
Habari Wakuu,
Hata hivyo kumekuwa na dhana kuwa mtu anayejichora tattoo hawezi kumchagia mtu damu na sababu za kutokufanya hivyo hazijawekwa bayana zikaeleweka
Je, ni kweli kwamba mtu aliyechora tattoo hawezi kuchangia damu? Na kama ni kweli zipo ni sababu za kisayansi ya kushindwa kufanya hivyo?
Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii.
Mhandisi Hersi...
Juni 15, 2023, Mdau wa JamiiForums aliweka chapisho linaloelezea jinsi alivyokwenda kupata chanjo ya COVID-19 na kupatiwa cheti ya chanjo husika.
Mdau huyu anaeleza kuwa alitishwa sana kabla ya kupata chanjo hiyo na wengine walimuomba alipie tu pesa ili apatiwe cheti kama sehemu ya uthibitisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.