Wadau kwa ujumla wenu nyote habari zenu ??
nilitamani kujua utaratibu wa kuchangia figo upoje...
(naomba mnijuze)
Una madhara kwa mchangiaji ?
Nahitaji kujua as nikijua au nikipata Elimu juu ya jambo hili naweza shawishika kuchangia.
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe aliyemsaidia Figo yake kuanzisha Mahusiano na Dume lingine.
Pia soma: Prof. Janabi: Wanaochangia figo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.