Ndugu zangu,
Hivi kwanini ukihisi au kubaini kuchapiwa mke au mwenzi wako huwa inaumiza sana mutima na kuvuruga akili, maisha, uelekeo na mipango ya wababa wengi na hata kufikia hatua kusababisha kujeruhiana na hata maafa na vifo?
Kuna mwenye uzoefu alieweza kupitia sahibu kama hili na kutoka...