kuchapwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tundazuri

    Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

    Nimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana. Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni wanaruhusiwa kuchapwa namna hiyo? Hakuna adhabu nyingine kwani ya kuwafanya wasirudie kosa? Nawasilisha. Cc...
  2. JanguKamaJangu

    Mwananchi Arusha adai ametukanwa na kuchapwa makofi na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, DC asema "aende Mahakamani"

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha kifo cha mama yake mzazi akiwa ndani ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo. Getrude akizungumza na GADI...
  3. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hija Hamis Msumi (16) Mwanafunzi ya Kidato cha Tatu, ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyanjati wilaya ya Kibiti, mkoa wa kipolisi Rufiji, amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 12, kwenye makalio mbele ya mahakama kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi wa darasa la Nne mwenye umri wa miaka 12...
  4. J

    Mwanafunzi anayedaiwa kuchapwa viboko na kumuacha na uvimbe na makovu Dodoma

    Mwanafunzi wa shule ya sekondary mnadani iliyopo mkoani Dodoma ameonekana akiwa amevimba mikono na akionesha makovu kwenye sehemu ya mwili wake akidai ni moja ya mwalimu ndo alimpa adhabu hiyo
  5. Cute Wife

    Ungeweza kufikia hapo ulipo bila kuchapwa fimbo?

    Wakuu kwema? JF imefanya mjadala leo kuhusu kupata mbadala wa adhabu ya viboko shuleni, huku lengo kubwa ikiwa adhabu hiyo kuondolewa kabisa shuleni. Nimesikia watu wanasema bila fimbo wangekuwa wamepotea huku wengine wakigoma kuwa adhabu ya viboko inapaswa kukomeshwa, mimi binafsi naunga...
  6. Ngurukia

    Unaweza kukubali kuadhibiwa endapo umekosea ukweni/mkeo?

  7. Mtu Asiyejulikana

    Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

    Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu. Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu...
  8. BARD AI

    Arusha: Afariki dunia akidaiwa kuchapwa viboko 280

    Mkazi wa Sanawari, Wilaya ya Arumeru Mkoa Arusha, Nelson Mollel (32) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu ya kuchapwa vikobo 280 kutokana na tuhuma ya kumtukana mama yake mzazi. Wazee wa jamii ya Kimaasai na Kimeru wilayani Arumeru mkoani Arusha wamekuwa wakitoa adhabu ya kuwachapa...
  9. Sildenafil Citrate

    Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  10. Ghazwat

    Kuelekea mechi ya CAFCC | Simba SC dhidi ya ASEC Mimosas SC, mechi kubwa kwa timu kubwa

    Habari Tanzania na Kote Duniani..! Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium), ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anakamuana na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast. Ni mchezo mkubwa...
  11. Counterbook

    Umeshagundua sababu za kuchapwa utotoni kula kwa watu?

    Kwema! Mara kadhaa umewahi kusikia mtoto akilia kisa kipigo et kalosa , unadhani mtoto aliyeshiba vizuri anaweza kula upya? Kwa mawazo ya kikubwa kikubwa unaelezeaje hili suala kama lilishawahi kupata utotoni; kama mzazi alikuwa sahihi kwa nini? Kama hakuwa sahihi kwa nini? Huelewi bado...
  12. Superbug

    Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  13. Chendembe

    Wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidieni waliodhalilishwa kwa kupigwa hadharani na viongozi wa umma

    Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya. Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata. Vitendo hivi...
  14. Yericko Nyerere

    Kijasusi tunajifunza nini kuchapwa kofi kwa Rais wa Ufaransa?

    Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
  15. Gepard

    Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

    Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa...
  16. sajo

    Bukoba: Mahakama ya Rufaa ya Tanzania yabatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa Mwalimu aliyemuua mwanafunzi kwa kipigo

    Tarehe 17 Disemba 2020, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania katika kikao chake ilichoketi Bukoba, imebatilisha hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania katika kesi ya Mauaji Namba 56 ya 2018 kuwa Mwalimu RESPICIUS PATRICK @ MTANZANGIRA anyongwe mpaka kufa kwa kusababisha kifo cha mwanafunzi...
Back
Top Bottom