Mi ni mtu mwenye aibu saana na sio muongeaji, home walishanizoea nikisalimia naingia rum kwangu nafanya yangu, iwe kuchati au kusoma au chochote but I like being alone.
Changamoto ni kukaa na watu wengi hasa wageni huwa sina cha kuchangia kwenye mazungumzo yao.
Turudi kwenye Mada nipo Doma...