Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi.
Katika safari yangu ya kucheka nimegundua kuwa kucheka sio rahisi kwani movie itakayokuchekesha Leo kesho utaona ya kitoto so laughing is hard...