Wakuu habari.
Mwanamke wangu aliniambia kuwa mwezi huu hajaona siku zake tukasema tusubiri kidogo labda zimechelewa, lakini amekuja kuniambia ameingia period ila nikihesabu ni siku ya 43 au 44 hivi tokea aingie period ya mwisho, ananiambia na zinatoka sio za kawaida ni kama nyeusi zilizokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.