Wakuu,
Simba walichezea nafasi waliyopata na sasa wameanzisha propaganda kubwa sana
Kila timu ikifungwa na yanga basi ni udhaminj wa GSM na urafiki wa GSM. Hizi ni hoja mfu sana.
Wakati wa game yao na Namungo mgunda kocha kindakindaki wa simba alionekana wazi akifurahia wao kufungwa mpaka...