Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI??
SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5.
MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.
Simba wamekuwa walipewa waamzi...
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne.
Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel Tanzania.
🛑 Mshindi wa kwanza atapata nafasi ya kutembelea Dubai.
🛑 Mshindi wa pili atapata nafasi...
Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana siku hiyo kati ya Burnley na Leeds nani ataungana na timu nyingine mbili kushuka daraja.
Msimu wa...
Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia.
Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside
Pia...
Mtanzania kuchezesha AFCON.
Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.