kuchimba kisima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kazi ya Survey na Kuchimba kisima

  2. Ni sahihi kuchimba kisima maji kipindi cha masika?

    Ni sahihi kuchimba kisima cha maji kipindi cha mvua? Sikuwa na mpango wa kukichimba muda huu, lakini mtu anayelihudumia shamba langu kwa sasa kaniambia anaweza kukichimba kwa bei nafuu hadi ayakute maji. Nilipomwambia kuwa visima vianvyochimbwa nyakati za mvua zinaweza kuishiwa maji wakati wa...
  3. U

    Nini hasa kinafanya gharama za kuchimba kisima kuwa mil 8, 10, 12? What is so special?

    Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza Barabara na ya migodini, ikiwemo Wheel loader, Excavator, Bull dozer (mashine ya kipekee ambayo ukiwa Dar...
  4. M

    Kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwenye beach plots

    Habarini wakuu, Tafadhali naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwa beach plots ambazo zipo kama 400m toka beach. Asante.
  5. E

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Huduma zetu! KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI. KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO. KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA. KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI. 0759600809 Gerezani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…