Kwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano...