Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Kutoka Ofisi ya kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha
Taarifa ya ajali ya moto katika Ofisi za CHADEMA
Ndugu wanahabari,
Mnamo tarehe 03/12/2013 muda wa saa 5:00 asubuhi, polisi mkoani hapa tulipokea taarifa juu ya kuchomwa moto kwa jengo ambalo lina ofisi za chama...