kuchukiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tatizo la kuchukiwa kazini

    Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia. Mimi sio mvivu...
  2. Teslarati

    Ni kawaida ya tajiri kuchukiwa, kama unataka utajiri jiandae kwanza kuchukiwa

    Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia kutakatisha fedha zao" akanijibu kuwa anataka angalau amani ya moyo tu. Akaendelea kusema kwamba wote...
  3. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  4. mirindimo

    Fatma Karume akiri familia yake kuchukiwa wazi wazi na Rais Mwinyi

  5. S

    Pre GE2025 Mtazamo: Wanamtengenezea mazingira ya kuchukiwa na umma ili 2025, kundi kubwa la CCM lijitenge ili wamuangushe kwenye uchaguzi

    Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa. Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama...
  6. M

    Je, ni kweli kupendwa au kuchukiwa na watu kunatokana imani za giza au muonekano wa mtu?

    Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili. Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
  7. Chizi Maarifa

    Chanzo cha Taifa Stars Kuchukiwa na kuchangia kufanya vibaya

    Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu. Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo cha upatanisho kwa wananchi. Yaani inapocheza wanasahau tofauti zao za kisiasa, kiimani, kiitikadi...
  8. GENTAMYCINE

    Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  9. Stephano Mgendanyi

    Maboresho Mkataba wa Bandari Yazingatie Maoni ya Wananchi

    MHE. TARIMBA ABBAS - MABORESHO MKABATA WA BANDARI YAZINGATIE MAONI YA WANANCHI "Serikali ifanye utafiti ni kwanini Tandale mahali ambapo pana Shule tatu za msingi na bado wanashindwa kuweza kupata Shule ya Sekondari" - Mhe. Tarimba Abbas, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni. "Elimu ya dai risiti toa...
  10. Allen Kilewella

    CCM imedumaza uwezo wetu wa kufikiri, hadi wanaofikiri sawasawa wameanza kuchukiwa

    Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa Mapinduzi. Kwa ivo kila mtu aliyetaka kufanya siasa Zanzibar ilibidi ajiunge na ASP ili afanye siasa na...
  11. Mtu Asiyejulikana

    Watu wanaoongoza kwa kuchukiwa humu JF

    1. Chizi Maarifa - nimepita nyuzi kadhaa nimekuta jamaa akitukanwa na kusukwa sukwa sana.naamini kama angekatisha lile eneo lenye wale watu muda ule wangempopoa sana kwa mawe. Sana siyo kidogo. Maana nimesoma hasira za watu na bado kwenye nyuzi nyingine nimeona watu mpaka wakimtishia kumroga...
  12. kaligopelelo

    Wanaomchukia Manara wanaumia zaidi kuliko Manara mwenyewe anavyoumia kuchukiwa na wengi

    Majeneza fc labda nikusaidieni juu ya jambo hili huenda mkapoza nyoyo zenu kidogo. Huyu Manara ni kisu mlichokitengeneza wenyewe Leo kinawakata. Hivi alivyo Manara ndivyo alivyo tokea zamani enzi hizo anakabiliana na Jerry Muro mheshimiwa Sasa hivi. Jerry Muro alikuwa msemaji wa mpira pekee...
  13. Clark boots

    Ndugai ni Spika pekee Tanzania kuwahi kuchukiwa na watu

    Nasema haya yote kutokana na mienendo yake mbalimbali na matatizo yanayomkuta huyu Spika wa bunge hasa toka afariki JPM. Nadiriki Kusema anachukiwa na watu tena wengi kwa sababu, Huyu ni Spika ambaye hata akifanya au kuongea Jambo dogo tu lazima watu wamnange. Kunangwa huku kunadhihirisha kabisa...
Back
Top Bottom