kuchukua fomu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Geita: Viongozi wa dini Chato wachangisha Tsh. Mil 1.4 kwaajili ya Rais Samia kuchukua fomu ya kugombe Urais

    Wakuu, Mchango huo umefanyika katika hafla maalum iliyoandaliwa na Kamati ya Amani ya Wilaya ya Chato inayoundwa na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kuliombea taifa dhidi ya ugonjwa wa Marburg. Soma: Pre GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Katika mchango...
  2. G

    Pre GE2025 John Heche kuchukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti CHADEMA

    Godbless Lema amesema kwamba John Heche kakubali kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara. Heche bado hajaongea chochote.
  3. Rula ya Mafisadi

    Pre GE2025 Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

    Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa. Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
  4. GRAMAA

    Maandamano ya kuchukua fomu makamanda wanajitokeza lakini maandamano ya kupinga kuuawa na kitekwa kwa watu makamanda hawaonekani!

    Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA. Eti ebu wewe mwenyewe fikiria. Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho! Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA...
  5. chiembe

    Pre GE2025 Kuonyesha kwamba Lissu haungwi mkono na mtu yeyote ndani ya CHADEMA, leo amekwenda akiwa mpweke kuchukua fomu

    Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida. Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA A lone wolf. Failure to plan, is planning to fail, plan yake haikuwa uenyekiti, ila umakamu.
  6. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  7. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  8. N

    LGE2024 CUF: Zoezi la kuchukua na kurejesha fomu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lilikuwa na dosari, tunashauri muda uongezwe

    Chama cha Wananchi CUF kimetoa wito kwa mamlaka inayosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuongeza muda wa wakuchukua na kurejesha fomu kwa wagombea. Katika tamko ambalo wamelitoa November 1, 2024 majira ya mchana ikiwa yamebakia masaa machache kwa muda rasmi uliotolewa na TAMISEMI...
  9. Torra Siabba

    LGE2024 CHADEMA Uyui Wanyimwa Fomu za Wagombea na Afisa Mtendaji

    Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora. Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali...
  10. K

    LGE2024 CHADEMA Simiyu wachukua fomu, wasema "Safari hii hatutakimbia, watakimbia wenyewe"

    Pazia la kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao utafanyika mwaka huu 2024 limefunguliwa Jana Oktoba 26, 2024 kwa mujibu wa TAMISEMI. Zoezi hilo ambalo litafanyika kwa siku Saba, Hadi Novemba 1, 2024, litaambana na kurudisha fomu kwa wagombea...
  11. milele amina

    Pre GE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  12. C

    Pre GE2025 Ileje wamchangia Dr Ntimi Mtawa gharama za kuchukua fomu 2025

    Wananchi wa Ileje kutoka Ikinga, Isongole, Ngulilo, Ndola, Luswisi na Itale kwa pamoja wameonyesha uzalendo wao kwa kumchangia gharama za kuchukua fomu ya ubunge. Msomi Dr Ntimi Mtawa ili agombee nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu ujao wa 2025. Ikumbukwe mwaka 2020 kijana huyu msomi alijaribu...
  13. J

    LGE2024 Kama leo hii mwanamke atatwezwa utu wake, watawezaje kwenda kuchukua fomu ya uchaguzi?

    KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI? "Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu mbalimbali watagombea wenye jinsia ya kike, kama leo hii watatwezwa na kudhalilishwa, nani mtoto wa kike...
  14. M

    Pre GE2025 A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025

    Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili. Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais mwakani, binafsi nilianza kufanya uchunguzi. Leo asubuhi nimesikia redioni katika Moja ya vipindi...
  15. M

    Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

    Bahati nzuri Binafsi nakujua ndani nje tena mpaka Dhambi zako ZISIZOSAMEHEKA ulizowafanyia wana Simba SC mpaka ukakoswakoswa Kupigwa Risasi Uwanja wa Taifa na Marehemu Zakaria Hanspoppe baada ya Ismail Aden Rage Kuingilia kati na Kumsihi. Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
  16. J

    Shaka Hamdu Shaka : Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wanaohitaji Ubunge wa EALA "East African Legislative Assembly "sasa ruksa kuchukua fomu.

  17. escrow one

    Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

    Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka. Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti...
  18. Erythrocyte

    Baada ya Tulia Ackson kuchukua fomu ya kuomba Uspika, kwanini nafasi ya Naibu Spika nayo isitangazwe kuwa wazi?

    Katika majina yanayotajwa mpaka muda huu kwamba yamechukua fomu ya kuomba Uspika, limo jina la Naibu Spika Tulia Ackson, kwa maana hiyo ni kwamba huyu mama hautaki unaibu Spika, na ndio maana anauomba Uspika kamili, na bila shaka ameondoka kwenye ofisi ya Naibu Spika kwa lengo la kuepusha...
Back
Top Bottom