Watanzania tunapopatwa na changamoto fulani, wengi wetu huishia kulalamika tu, badala ya kuchukua hatua. Hali hii imefanya watesi wetu kuzidi kutuonea Kwa sababu hata wao wanajua Kuwa hatutochukua hatua yoyote ile zaidi ya kuishia kulalamika. Jambo hili hupelekea kutokuwajibika. Na kadri mtazamo...