Sakata la mwekezaji wa shamba la kuku wa nyama na mayai mkoani Kilimanjaro, kuteketeza kwa moto vifaranga 50,000 vya kuku kwa madai ya kukosa soko, limechukua sura mpya, baada ya serikali kusema inakusudia kuchukua hatua dhidi ya kampuni hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Mifugo, Prof...