Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha.
Lakini sasa kunichunguza ameanza kuzidi. Yaani inafika wakati saa nane za usiku nastuka namkuta anapekua simu zangu, anazama...