Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani....
Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo....
Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu sakata hili ....
Bila shaka Yanga inapaswa kuweka msimamo imara dhidi ya uhuni kwenye soka
Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
Wakuu kwema?
Kulingana na Mkataba wa Huduma kwa Wateja wa TANESCO, mteja ukipata hasara kutokana tatizo la umeme, TANESCO inatakiwa kumfidia mteja huyo. Kipengele hiki kinasema;
"Kuwafidia wateja pale ambapo tatizo la umeme limesababisha uharibifu wa mali baada ya kuwa imehakikishwa kwamba...
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.
Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa...
Wakili msomi Halord Sungusia amesema sheria za Tanzania hazijaweka utaratibu wa mtu aliyewekwa mahabusu kwa muda mrefu kudai fidia pindi itakapobainika aliwekwa mahabusu kimakosa, akishinda kesi au DPP akiamua kutoendelea na kesi.
Hii imeumiza watu wengi sana lakini ndivyo utaratibu wa sheria...
THURSDAY JUNE 17, 2021
Dar es Salaam. Wakili Peter Madeleka na mkewe, Jamila Augustine Ilomo wameishitaki Serikali wakidai fidia ya mali kwa kukaa gerezani kama mahabusu kwa zaidi ya miezi 18 na baadaye kuachiwa buru baada ya makubaliano na DPP.
Katika kesi Na. 10 ya mwaka 2021 aliyoifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.