kudanganya umri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huenda Elly Mpanzu alikosa timu Ulaya kwa kudanganya umri?

    Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form six, lakini leo hii naonekana kijana kuliko yeye. Wazungu wana kipimo cha umri, si ajabu kilisoma 32...
  2. Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…