MHADHARA (104)✍️
1. Utaondoka nyumbani mweupe kwenda kutafuta, utarudi nyumbani ukiwa mweupe. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
2. Biashara utakayoianzisha itayumba, au kufa kabisa. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana.
3. Utakwama, utawapigia simu watu wako wa karibu kamwe...
Thamani ya rasilimali zetu imeshushwa chini kutoka kwenye utetezi wa watu makini hadi kutetewa na chawa; chawa hawana hoja wana matusi na tunaamini tutapiga hatua ?
Ni fedhea kubwa sana kuona baraza la maaskofu na watetezi wengine wa rasilimali zetu wanakosa wasome wakuwajibu badala yake...
Habari wakuu,
Watu hatuna STATUS sawa kwenye jamii ndio maana nimekuja kuomba msaada.
Mimi ni mjasiriamali baada ya kuhitimu chuo mwaka jana nilikuwa nimejibana nikasevu pesa kidogo nikanunua Mashine za kukoboa na kusaga Mahindi (Mota na vinu viwili) ni miezi minne sasa tangu ianze kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.