kudhamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rozela

    GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja. TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
  2. B

    Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  3. Chizi Maarifa

    GSM ipewe vilabu vyote kudhamini ili Yanga iwe team bora katika Ligi

    Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa. Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
  4. Edsheraan

    Ni kweli kwamba kama hujajiandikisha kuchagua hutopata mkopo benki na kudhamini watu?

    Za asubuhi? Nimeskia sehemu kwamba wanaanzisha Sheria uchwara kama hukujiandikisha kuchagua huwezi kupata mkopo benki, huwezi kumdhamini mtu. Unatambulika sio raia wa nchi hii hali ni mbaya katika daftari la uandikishaji wananzengo waligoma.
  5. kavulata

    TBC kudhamini ligi ya NBC hatupati value for money

    Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa (wadhamini wao). Wanakuja kutangaza hata orodha ya wachezaji wakati mpira una dk 5. Kwanini matangazo ya...
  6. Vichekesho

    GSM azuiliwe kudhamini timu zinazo shikiriki CAF Champions League

    Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli. Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
  7. Tabutupu

    TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  8. L

    Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  9. Stephano Mgendanyi

    Shilingi Bilioni 3 Kudhamini Jezi za Timu ya Taifa

    SHILINGI BILIONI 3 KUDHAMINI JEZI ZA TIMU ZA TAIFA; DKT. NDUMBARO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kuwatumia wawekezaji wa ndani kutengeneza jezi za mpira wa miguu wa timu...
  10. M

    Fencorp, David Richard Investment na prince kreative kudhamini Miss Tourism Tanzania 2023

    FENCORP ya Marekani, DAVID RICHARD INVESTMENT NA PRINCE KREATIVE za Tanzani, watadhamini Miss Utalii Tanzania 2023. Kwa kuanzia wanadhamini ushiriki wa Tanzania katika fainali za Miss Tourism Africa 2023, zitakazo fanyika Lagos Nigeria Oktoba 2, 2023
  11. BARD AI

    Serikali yaitunukia Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kudhamini Kongamano la Habari 2022

    Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeikabidhi Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Jamii Forums Cheti cha Shukrani kwa kutambua uamuzi wake wa kuwa Mdhamini wa Kongamano la Habari lililofanyika leo Desemba 17, 2022 jijini Dar es Salaam.
  12. kavulata

    Kuondoka kwa GSM kudhamini ligi TFF wajitafakari

    Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA. Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila upendeleo na bila woga. TFF Ina mapungufu makubwa sana ya kufanya fairness kwa timu zake dhidi ya timu...
  13. M

    GSM kabla ya Kukurupuka Kwenu Kudhamini Ligi na Vilabu mlipata Twisheni kwa Sports Pesa kwanini wao waliweza na Simba SC hawakuwagomea?

    Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa. Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
  14. M

    GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  15. Nyendo

    Yaliyojiri Mahakamani katika kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, Januari 13, 2022. Kesi imeahirishwa hadi Januari 14 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 13/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea. Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022 Ungana nami katika uzi...
  16. pantheraleo

    SportPesa kudhamini timu ya Wabunge Kwa kuwapa vifaa vya michezo

    • Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
  17. Replica

    Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara. Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni...
  18. Kingsmann

    HESLB wanatoa wapi pesa za kudhamini vipindi vya redio?

    HESLB ni wadhamini wa kipindi cha Powerbreakfast cha Clouds FM, swali ninalojiuliza hapa ni kwamba inakuwaje taasisi ya serikali ambayo ni non-profit institution inajigeuza kuwa profit-based institution? Sielewi lengo lao la kujitangaza ni nini. Hawana ushindani wowote, hawana mtu...
Back
Top Bottom