Wakuu
Uchaguzi unakuja, Oktoba 2025 sio mbali, lakini wote tunashuhudia vijana wengi wamegeuka "machawa" na kupoteza mwelekeo wa kisiasa. Badala ya kujadili sera, ajira, elimu, na uchumi, wamebaki kujipendekeza kusiko na faida kwa maisha yetu.
Mastaa Wengi wamegeuka kuwa mashine za kuwapamba...