Ipo hivi, Nina mshikaji wangu ni Afisa Ardhi (sitaweza taja halmashauri yake) nimesoma naye chuo degree ya Sheria, mwenzangu alibahatika kuwa afisa ardhi.
Alinipigia simu anataka simu kuwa Wana uwanja unafaa kwa uwekezaji wa kituo cha mafuta, niliwatuma vijana wangu wakauona ule uwanja , then...