Jumuiya ya umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi wilaya ya biharamulo imempa tuzo ya uwakilishi bora uliotukuka mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa kama ishara ya kukubali kazi kubwa aliyoifanya jimboni biharamulo tangu ashinde ubunge.
Saa maalum yenye picha yake ni ishara kubwa...