Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...