Kadri miaka inavyoenda ndivyo ongezeko la wanafunzi linavyozidi kwenye shule za msingi, sekondari, vyuo, na vyuo vikuu. Na ufaulu pia unaongezeka hadi kufikia hatua ya wasio jua kusoma na kuandika nao wanafaulu.
Ila kinachonisikitisha na kunitatiza na kukosekana watu walioelimika.
Shida iko wapi?
UTANGULIZI
Kama ilivyo kwa vijana wengi wa kitanzania nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule kwa kutaka kusoma kadri ya uwezo wangu ili mwishowe niweze kuhitimu masomo yangu, nipate kazi ambayo ingenisaidia kujikimu na kuinua kipato changu pamoja na kusaidia familia yangu kuondokana na wimbi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.