Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu,
Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria.
Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan.
Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo
1. Ili...
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika.
Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa.
South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
Shule zote zinautaratibu wa kupanga awamu za kulipa ada,mf miezi 3,4au6 unaambiwa ada ya mwaka ni kiasi fulani yani hapo washasisitiza ada ni ya mwaka yani yani miezi12,sasa ktk ada hiyo wanayosema mbona hawasemi tutakuwa na likizo wastani siku60+ambayo wangepunguza ada ya siku hizo za mapumziko?
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....
Jambo linalonistua ni kwamba, wengi...
Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’
Katika kujaribu...
Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
chama
chama tawala
dar
dar es salaam
hasara
kuelimishwa
kuhusu
kupoteza
maana
mazingira
mbio
mbio za mwenge
muhimu
mwenge
mwenge wa uhuru
naomba
nguvu
nimechoka
nje
pesa
serikali
shughuli
siasa
tafadhali
tena
thamani
uchumi
ufafanuzi
uhuru
umuhimu
wananchi
Habari zenu wakuu,
Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3.
Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.