kuelimishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  2. Naomba Kuelimishwa Hichi Kitu Kwenye Kampuni

    Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria. Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije kusomeka kwenye financials kama shareholders loan. Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo 1. Ili...
  3. Naomba kuelimishwa kuhusu hii ofisi yangu TRA wanataka niwe na leseni.

    Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
  4. Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  5. N

    Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  6. Naomba kuelimishwa

    Shule zote zinautaratibu wa kupanga awamu za kulipa ada,mf miezi 3,4au6 unaambiwa ada ya mwaka ni kiasi fulani yani hapo washasisitiza ada ni ya mwaka yani yani miezi12,sasa ktk ada hiyo wanayosema mbona hawasemi tutakuwa na likizo wastani siku60+ambayo wangepunguza ada ya siku hizo za mapumziko?
  7. Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

    Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia. Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu.... Jambo linalonistua ni kwamba, wengi...
  8. Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  9. Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  10. Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  11. Naomba kuelimishwa jinsi ya kuandaa mazao tofauti pamoja na mbogamboga. Vitu gani vinauzika zaidi?

    Habari zenu wakuu, Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3. Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…