kuendeleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makampuni ya China yasaidia Afrika kuendeleza uchumi wa kidijitali

    Katika msimu uliopita wa ununuzi wa Krismasi na mwaka mpya, Kilimall imekuwa jukwaa la biashara la mtandaoni linalopendedwa zaidi na wateja wengi nchini Kenya, kutokana na bidhaa zake bora na zenye bei nafuu, pamoja na huduma nzuri ya kupeleka vifurushi. Kilimall iliyoanzishwa na mfanyabiashara...
  2. Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  3. Kwanini bado wazazi waliofanikiwa kibiashara ni waoga kuwashirikisha, kuwaamini na kuwatumia watoto wao kuendeleza miradi yao ?

    Nashangaa kuona bado hizi fikra za kale zinaendelea "kila mtu ajitafutie cha kwake", mtoto wa mfanyabiashara anafika miaka 23 hana utofauti na watoto wa mwalimu, yani hajui kitu kuhusu biashara kiasi kwamba hata akimaliza chuo anafikiria mshahara, hata akikosa ajira mzazi kwenye account ana...
  4. UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
  5. Maendeleo madogo katika kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza yamefutwa na baadhi ya Sheria kandamizi

    Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria. ============================...
  6. Waziri Dkt. Ndumbaro asisitiza wadau kushirikiana na Serikali kuendeleza Michezo Nchini

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ASISITIZA WADAU KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUENDELEZA MICHEZO NCHINI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 20, 2023 Jijini Dar es Salaam amekutana na viongozi wa timu ya Simba ambapo wamejadili masuala mbalimbali yakiwemo maendeleo ya michezo...
  7. Waziri Dkt. Ashatu Kijaji - Tanzania, China, Uturuki na Indonesia Kuendeleza Ushirikiano wa Kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kibiashara baina ya Tanzania na Indonesia na Balozi wa Indonesia nchini Mhe. Tri Yogo Jatmiko Septemba 9, 2023 katika Ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam...
  8. L

    Wachina waenzi na kuendeleza moyo wa “Baba wa Mpunga Chotara” wa kuwanufaisha watu wote duniani kwa chakula

    Kilimo ni uti wa mgongo wa maisha na pia ni sehemu muhimu sana hasa katika jamii yetu ya kisasa, ambapo kinaathiri chakula tunachokula, ardhi tunayoishi, na mambo mengine mengi ya jamii yetu. Mamilioni ya watu wanaweza kujikwamua na umaskini duniani endapo watawekeza kwenye sekta ya kilimo...
  9. M

    SoC03 Kuendeleza Uwajibikaji wa Wafanyakazi kwa Mafanikio Bora

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea mabadiliko haya katika mazingira ya kazi. Andiko hili limezidi maneno mia saba. 1. Kuhamasisha Uongozi wa...
  10. SoC03 Uongozi Bora: Kazi ya Moyo Inayogusa Roho za Watu na Kuendeleza Taifa

    UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
  11. M

    Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

    Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe. Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika. Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
  12. SoC03 Kulinda na kuendeleza umoja wa kitaifa wakati wa mageuzi ya kisiasa na kiuchumi ili kukuza utawala bora

    UTANGULIZI Umoja wa kitaifa ni hali ya mshikamano kati ya watu wa taifa. Ni hisia ya kuhusishwa na utambulisho wa pamoja ambao huwaunganisha watu na kuwaleta pamoja, bila kujali tofauti zao za kikabila, kidinii, kiitikadi na kiasili. Umoja wa kitaifa ni muhimu kwa taifa lenye nguvu na ustawi an...
  13. Somo kutoka Uchina, namna walivyoweza kuendeleza biashara ya Bandari

    Tusilaumiane bali tujifunze na tutoe mustakabali wa Taifa letu kwa upendo tu, naweka document ili tuendelee kujifunza.
  14. Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
  15. F

    SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  16. Dkt. Kikwete aipongeza GGML kuendeleza kampeni ya kudhibiti UKIMWI, akusanya Tsh. Bilioni 1.6

    Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh Bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa Harambee ya Kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh Bilioni 2.3 fedha zitakazotumika kuendeleza mapambano dhidi ya maambukizi ya...
  17. Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  18. Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika kuendeleza kipaji

    Habari rafiki! Je, wewe ni kijana mwenye kipaji cha kuimba, kupiga piano, au kupiga gitaa? Ikiwa ndiyo, tuna furaha kukualika ujiunge nasi katika safari ya kuendeleza kipaji chako! Tunayo akaunti ya TikTok inayoitwa B&G Entertainment ambayo inakusudia kuwawezesha vijana wenye vipaji mbalimbali...
  19. Urusi walaumu Ukraine kwa kuendeleza mapigo hata walipoomba wasitishe kidogo kupisha Krisimasi

    Haingii akilini, umevamia nchi ya watu na kuanza kuiba ardhi halafu unaomba wasitishe kukupiga ili upate fursa ya kusheherekea krisimasi yako..... Aunilateral ceasefire called by Russia appears to have had little effect on fighting on the ground, with officials accusing each other of opening...
  20. M

    Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…