Habari za wakati huu wana jf , niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ni kushare kilichonikuta leo.
kuna mtu mmoja alinicheki anaitaji kilo 30 za mchele alikuwa mbali na sehemu ninapouzia ko anaitaji free delivery nikasema sawa , tukakubaliana vizuri ukifika analipia , picha linaanza...