Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.
Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.
Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.
Lakini kuna hoja kwamba ALAF anauzia brand,kwamba kuna kampuni nyingine nzuri zinafanya vizuri lakini hazina...